ATTENTION : kutokomeza mafisadi

collezione

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
352
178
Wana-JF na waTanzania wote wenye mapenzi mema.

Mimi naona swala la kupiga kelele haitoshi. Kila mtu anaathirika na ufisadi kwa njia moja au nyingine. Hawa mafisadi wanatufanya tushindwe kuyafurahia maisha ndani ya chini yetu. Ufisadi unatufanya hali ya maisha inakua ngumu. Kila siku afadhali ya jana. (Tuache unafiki) kila mtu analijua hili.

Mafisadi wana-nguvu kuliko shetani. Mafisadi wanapanga nani auwawe hapa Tanzania. Viongozi wetu mashahuri kina Dr mwakyembe afya zao, Ziko mikononi mwa mafisadi. "Hawa watu ni kitu gani mpaka watupande kichwani kiasi hiki".

Jamani waTanzania, tuanze kutokomeza hawa mafisadi. Maneno peke yake hayatoshi. Fisadi mmoja ni sawa na majambazi (laki moja). Sasa kwanini tusiwachome moto???

Ile list ya mafisadi 10 inajulikana. Tuanze kupiga mawe mmoja mmoja. Wewe kama uko jirani ya mmoja wao. Tupe details.

Wananchi milioni 40 hatuwezi kushindwa hawa watu 10.
 
Watanzania tuna tabia ya kondoo sijui kama tutawaweza hao kina rost hamu.
 
Watu milion 40 hatuwezi kuwashindwa watu kumi. China Walianza hivihivi. Inakuaje mtu unateseka utafikiri mkimbizi.
Haiwezekani watu 10 watufanye waTanzania mazuzu.....
 
labda utumie facebook na twitter kufanikisha hili kama Tunisia
wakiona sura za wananchi zimebadilika wenyewe watakimbia nchi
 
We mwenyewe maneno mengi ebu gugo jina la kijana m1 anaitwa "Umar Farouk Abdul Mutallab"
 
Si mlimuona Malima aka Mzee wa Mikasi, anatembea full kwa kila kitu:passport, us dollars,bullet proof,vinasa sauti,simu ya satellite, AK47, bastora,wigi, hijabu.....hapo ni Moro tu,je akiwa Bariadi? Tupe muda tujiandae.
 
Si mlimuona Malima aka Mzee wa Mikasi, anatembea full kwa kila kitu:passport, us dollars,bullet proof,vinasa sauti,simu ya satellite, AK47, bastora,wigi, hijabu.....hapo ni Moro tu,je akiwa Bariadi? Tupe muda tujiandae.

Una hakika hizo dollar alitoka nazo DAR? Dar hadi Kigoma akupita kwenye mgodi wowote?

 
Sasa nisikilizeni nyote. Nikisema "ENOUGH IS ENOUGH PEOPLE", wote itikieni: "TAHRIR SQUARE NOW!"

Here we go:"ENOUGH IS ENOUGH PEOPLE!................
 
Back
Top Bottom