Picha za tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za tv

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MBUTAIYO, Mar 16, 2012.

 1. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wana JF,
  Naomba msaada wa wataalam wa picha na TV.
  Kuna kitu kwenye picha kinaitwa "aspect ratio", hii ni ratio ya urefu na upana wa picha ili picha ionekane katika uhalisia wake.Katika TV za kizamani (mitungi) hili linadhihirika na picha iliyorushwa inaonekana katika uhalisia wake, lakini katika TV za kisasa (flat screen) picha inaonekana bapa, yaani urefu unapungua na upana unazidi. Hii imenifanya nisinunue flat screen na siku zote natumia mtungi.
  Naomba mnijuze kwamba flat screen ndivyo zilivyo au ninaweza kupata iliyo na ratio sahihi?
   
Loading...