Tanesco msione aibu tangazeni tujue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco msione aibu tangazeni tujue

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Mar 17, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wakuu habari za wikiendi natumai kama sio mimi tu na wewe unakumbana na adha hii ya mgao wa umeme kwa takribani wiki moja sasa mgao unaanza saa kumi alfajiri hadi saa saba mchana bila ya taarifa zozote zile na gharama zao zikiwa juu hasa kinachoniudhi zaidi ni hii pesa wanayokata ya Service charge kila mwezi sh 3800.Juzi nilikwenda kununua luku nikiwa na sh elfu kumi niliambulia units 2.3 wakiwa wamekata service charge ya miezi miwili. Kweli kwa mwendo huu wa gharama juu+mgao walalahoi tutafika kweli?.
   
 2. M

  Mringo JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  .......................................................................
  Pole sana ndugu kwa hasira ila kua makini usipatwe na shinikizo la damu....
  Ila ingawaje mimi sio customer care wa TANE-SIKO napenda nikusaidie mchanganuo wa buku 10 yako.

  *Service charge shs. 4686.02*2 = 9372.04 (Balance b/f = 627.96)
  *cost/unit 272
  627.96/272 = 2.3 units

  Nawasilisha
   
Loading...