Mabasi zaidi ya 20,yakwama Wami | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabasi zaidi ya 20,yakwama Wami

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PayGod, Mar 16, 2012.

 1. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mabasi zaidi ya 2o yamekwama wami kutokana na kuaribika kwa lorry katika ya njia,mabasi hayo ni yale yanayotokea arusha,moshi na tanga
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  walale tu watafika kesho hakuna simba maeneo hayo wasihofu
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Poleni wasafiri
   
 4. m

  mambo moto Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani kama mzee mengi hajui, basi wapo watu waliomuingiza mkenge kutokana na kuwepo kwa wahariri wanaolamba mshahara bure huku wakiwa hawa kazi ya kufanya kwenye kampuni yake ya magazeti.
  Mmoja wa watu hao ambaye amedumu kwenye kampuni kijanja kijanga ni Fred Ogoti aliyepewa cheo kama mhariri wa habari za michezo kwenye gazeti ya The Guardian On Sunday baada ya kuondolewa kwenye gazeti la Guardian la kila siku.
  Kama ninavyomjua Ogoti ni kwamba hana uwezo wowote katika lugha ya kiingereza na hata habari za michezo hazijui, anafanya kazi kwa kubebwa tu na baadhi ya watu na kama wakiamua kumtosa ataumbuka.
  Kwa nini kampuni kubwa kama hiyo iwe na watu wa aina hii? Kama mzee Mengi hujui hilo, hebu fuatilia kwenye kampuni yako uone watu wanavyokula mishahara bila kazi za maana. Haya siyo majungu ni ukweli mtupu.
  Mhariri huyu ataendelea kufanya kazi kiujanja ujanja hadi lini huku akiwazibia wenzake wenye uwezo wakiwemo akina Florian Kaijege ambao nasikia nao wamehamia kwenye mgazeti yako?
   
 5. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  bangi mbaya duh!e bana kaoge ulale urudi kesho hapa ukiwa mzima usome ulichoandika na topic inasemaje
   
 6. M

  Mucho Mucho Senior Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  unadhirisha wewe ni mutu ya fitna na uchonganishi...wewe ni mutu mubaya,kila mahali wamuchafua huyo mutu..karibu wine.
   
 7. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kakudhulumu nini?
   
 8. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Madhara ya pombe ya mnazi tena iliyochacha
   
 9. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Heri ukwame katikati ya mbuga ya Serengeti kuliko kukwama maeneo hayo ya Wami! Kuna majambazi ya kutisha (simba watu) hapo japo kuna kituo cha polisi hapohapo!
  MUNGU awanasuru waliokwama na waweze kuendelea na safari zao salama
   
Loading...