Serikali ya JK yakiri kumshindwa MWANAMAPINDUZI HUYU, CCM yadai hawezekaniki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya JK yakiri kumshindwa MWANAMAPINDUZI HUYU, CCM yadai hawezekaniki!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipanga mlakuku, Mar 15, 2012.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Good work!
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,963
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Smart sana
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,171
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  keep it up!
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,421
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
 6. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,526
  Likes Received: 1,693
  Trophy Points: 280
 7. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Title yako imenifanya nikumbuke Maneno ya Naibu waziri, wakati suala la Mtandao huu lilipoingia bungeni. Alisema
  Hakika mwanaharakati huyu anawanyima usingizi
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mungu amlinde mwanaharakati huyu.
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,853
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni nani huyo mie sijamtambua wakuu
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,341
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  Ajilinde sana na wazee wa pollonium! bado tunamuhitaji
   
 11. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamii Forum na Uongozi wake.
   
 12. G

  Godwine JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,354
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ni forum yenye uhuru wa mawazo kushinda forum yeyote Tanzania kwani tumezoea waanzisha forum wanakuwa na agenda zao yeye yuko neutral ana upande anaoegemea.......Thanx max and mike
   
 13. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,656
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ni Maxence Melo & The Company!
   
 14. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 2,415
  Likes Received: 2,913
  Trophy Points: 280
  Ni JF, na imekuwa na mbio ndefu kushinda waanzilishi wake, nawapongeza sana waanzilishi kwa sasa mbio zake ni zaidi ya zile za wakenya na waethiopia acha zile fupi za wamarekani. Uishi zaidi JF kwani unapendwa na wengi na wasiokupenda wanakupigia makofi moyoni wakiumia rohoni
   
 15. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  jamiiforum ni moto wa kuomtea mbali,wamejaribu kuiangamiza wameshindwa,nikipigwa ban jf nahisi kama vile kuna kitu nakikosa kwenye ulimwengu wa mawasiliano. I love jf.
   
 16. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  I am proud to be a member of JF, I got 7 jobs kwa mpigo when I graduated my Bsc in Engineering from UDSM 4 years ago with the help of JF!! Love you JF.
   
 17. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli nimefurahi kuwa yeye ni Mahindisi
   
 18. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,259
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180

  the countrymen have decided to run the country professional....hongera maxenxe na mike mushi!

  nakumbuka huyu mike alianzaisha ile kitu www.uchaguzitanzania.com na kina jk waliipenda..sasa hivi sijui iliishia wapi?
   
 19. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  JF udumu daima. Washindwe wote wenye kukuangalia kwa jicho baya (Mama Lwakatele na wenzake)
  Humu tunapata habari zote za Tanzania. I dont need kununua gazeti kwani habari muhimu zote zinakuwa zimeshawekwa JF kabla magazeti hayajatoka.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza hapa ni kipi? mbona kazi inayofanywa na Jamii forums si sawa tu na inayofanywa na magazeti na vyombo vingine vya habari? Tunajivunia uhuru wa habari ambao hata mtu akimtukana kiongozi yeyote ni pouwa tu!
   
Loading...