Rais Kapela (The bachelor president) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kapela (The bachelor president)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lukindo, Mar 17, 2012.

 1. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  Salaam zenu wana jf

  Nimeona nipite huku leo ili tuliangalieni suala hili limekaaje.
  Hapa namaanisha issues kama zile za akina ‘First Lady' (Mama Salma), First son/Daughter (Mwanahasha/Riz) nk, inakuwaje kwa huyu bwana ambaye sasa ana miaka 59!?

  Je, ina maana maraisi wengine wakienda huko inakuwaje!? Maana hapa kwetu huwa naona suala la mke linachukua nafasi kubwa sana katika suala la Ikulu na sio ajabu Mh. Prof. alihojiwa juu ya marital status yake wakati anagombea kuingia Ikulu. Na hata Dr wa ukweli (nasikia) aliamua kupata ‘mchumba' ili aweze kuyakabili majukumu ya Magogoni. Lakini haiishii hapo maana hara Mh. BWK nasikia alilazimika ‘kurudiana' na ‘Mmachame' katika mlolongo huohuo!

  Hii imekaaje ukichukulia kuwa huyu bwana anatokea Africa ambako wengine wanadai kuwa sifa yetu kubwa ni kupenda wanawake na ndio maana ukimwi unatumaliza??

  Nawasilisha President Seretse Khama Ian Khama.jpg


  At 59, the man has swiftly gone silent about his quest for ‘Miss Right', whom he once said must be tall, fine-looking and slender.

  Ian Khama, the Botswana president who celebrated his 59th birthday last month, has seemingly given up the search for a partner, or perhaps, Batswana women are just not towering or slim enough for him.

  Interestingly, the enigmatic leader deliberately skipped mentioning marriage during his speech at the Botswana Democratic Party's (BDP) 50th anniversary celebrations last month.


  He took a prolonged pause after reading the word ‘marriage' in his speech. "Hang on," he said, "who put marriage in my speech, I am not better placed to talk about it."

  Zaidi bofya: http://www.nation.co.ke/Features/DN2/The+bachelor+president/-/957860/1366980/-/8jwarx/-/index.htmlhttp://www.nation.co.ke/Features/DN2/The+bachelor+president/-/957860/1366980/-/8jwarx/-/index.html
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Pengine huyu bwana ni abnormal.Nani ajuaye,
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  mimi imenistua kidogo maana sikuwa nikijua hili na najaribu kufuatilia jinsi alivyopata hiyo nafasi tena kwa kuchaguliwa
   
 4. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Some time wanawake wanazingua bana wanaweza wakayumbisha nchi kwani inasemekana ugonjwa wa mguu alopata BWM alipigwa na sturi na 1st lady!
   
 5. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Some time wanawake wanazingua bana wanaweza kuyumbisha nchi inasemekana hata ugonjwa wa mguu alopata BWM umetokana na kupigwa sturi na 1st lady!
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,194
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kaoa kazi yake na habari za kuoa mke zitampunguzia ufanisi anavyoona mwenyewe.
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,194
  Trophy Points: 280
  The Khamas are from a royal Tswana family with a long dynastic history.

  Huyu baba yake alikuwa rais wa kwanza wa Botswana, Sir Seretse Khama. The wiki is here http://en.wikipedia.org/wiki/Seretse_Khama
   
Loading...