Mistubish rvr

BCR

Senior Member
Mar 16, 2011
101
12
hi
Naomba msaada , wa aliyewai kutumia MISTUBISH RVR, ikoje kimatumizi, uimara, matumizi ya mafuta, spare, n.k
natanguliza shukrani
 
RVR nyingi hapa bongo zimebadilishwa engine kwa kuweka ya corolla; tembelea karume soko la batiki pale Ilala utakutana na fundi mashuhuri wa RVR ukapate UHALISIA
 
Usijaribu na sikushahuri broda! Hiyo RVR siyo kabisa,nyingi zinabadilishwa injini na kufungwa 5A au 4E.
 
Rvr itakulazimu kubadilisa injini, na ukishabadilisha tu utalazimika kurekebisha vile vyuma vilivyoshika matairi ya mbele.
Kwa kifupi sikushauri kununua hilo gari ni pasua kichwa.
Labda kama unataka kulinunua kwa ajili ya kuchezea gofu.
 
Usijaribu na sikushahuri broda! Hiyo RVR siyo kabisa,nyingi zinabadilishwa injini na kufungwa 5A au 4E.
Hizo ni engine gani na bei zake zikoje? Nina rvr imeniletea shida nataka kubadili engine/ gearbox.


Sent from my GT-I9100 using Tapatalk
 
Nina rvr na imenipa shida hasa gearbox. Zina matatizo kwenye seal mojawapo ambayo baada ya muda hupasuka. Hata mimi nataka kubadilisha engine. Nimeambiwa engine ya rav 4 au corolla zinafaa, sina uhakika.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom