Hivi hili la familia ya Mwalimu J.K Nyerere na Mzee Mkapa limekaaje?

Mchokozi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
215
29
Wana jamii F nimesikitishwa sana na malumbano yanayoendelea na kuripotiwa na vyombo vya habari, nini kifanyike ili kuepusha/kusitisha malumbano yanayoendelea?
 
Viongozi wa ngazi za juu wastaafu wajiepushe kushiriki kwenye siasa ili kujitunzia heshima yao. kwenye siasa lolote laweza kutokea. Badala yake wafanye kazi za ushauri na usuluhishi. Aidha nashauri ccm waache kusema kwamba kwa sababu Rais anatoka ccm basi wananchi wachague mbunge kutoka ccm hii inaweza kuleta hisia kwamba rasilimali za nchi zinagawanywa kwa upendeleo. pia kama ndivyo itakuwa haina maana ya kuwa na uchaguzi wa vyama vingi.
 
Hivi tuna uhakika gani kuwa wanapenda wao kujihusisha kwenye hizi siasa/kampeni? kuna uwezekano mkubwa kabisa wanalazimishwa kama sharti la wao kuachwa wapumzike kwa amani.
 
tushukuru kwa kuwa tumejua yaliyokuwa sirini.
tumsubiri mkapa aseme kosa la mwalimu lilikuwa nini.
akiweza aombe msamaha kwa kutuuliwa baba wa taifa letu.
 
niliwahi kuona sehemu pameandikwa 'truth well told'.

Sikudhani kuwa wangetokea watu kuzuia hii mijadala badala ya kuitolea majibu kwa kuondoa mashaka pale yalipokuwa.

Lakini, kwa nini hawa wanaoizuia hawakumshauri Mzee Mkapa asiianzishe!?

Wana jamii F nimesikitishwa sana na malumbano yanayoendelea na kuripotiwa na vyombo vya habari, nini kifanyike ili kuepusha/kusitisha malumbano yanayoendelea?

Nimefurahishwa sana kwamba aliyeanza mambo haya ni mtu mkubwa, akidhani anafahamu zaidi! Kama kweli kunhitajika kitu kufanyika basi Mkubwa huyu apande tena jukwaani kulekule Arumeru aiombe radhi familia ya Marehemu Baba wa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa usumbufu mkubwa aliousababisha!
 
Wana jamii F nimesikitishwa sana na malumbano yanayoendelea na kuripotiwa na vyombo vya habari, nini kifanyike ili kuepusha/kusitisha malumbano yanayoendelea?
Hapa hakuna wa kunyamazishwa mpaka Scotland Yard waendeshe uchunguzi huru na tuambiwe hasa ni nini kilimuuwa Baba wa Taifa, otherwise huyu mashavu mapana kuna siku atakiona cha mtema kuni.
 
I am sure this is Mkapa's total disregard to the Family of the late Mwl. cause if Nyerere could be still arrive Mkapa could not dare to open his mouth in front of the public and speak an insulting speech of the type he did to one of Mwl's family member.
 
Back
Top Bottom