Mustafa sabodo aonesha matendo si maneno,msome hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mustafa sabodo aonesha matendo si maneno,msome hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MTAZAMO, Mar 16, 2012.

 1. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Wanabodi!

  Nimeona tangazo hili gazeti la mwananchi nikaona si vibaya ambao hawajasoma wakaona jinsi mzalendo huyu alivyo amua kutumia utajiri wake kwaajili ya wengine pia.(nime type mwenyewe makosa yatayojitokeza mniwie radhi)

  The retired hedge fund and equity National commodity debt Mzee M.R.J Sabodo has started the project of construction a 14 storeys building that will be used for motor vehicle parking in DSM City.The parking storey is allocated along India street back to Shia Mosque.
  This project has already started under the construction of Sumar Varmer Co.(Archtect) and the main engineer Jayant&Chohon Ltd.
  As we all know that parking space is a big problem in DSM City and for that building at least he can reduce that problem.This parking storey is expecting to accommodate about 300 motor vehicles at once.(The plot is belong to KSI JAMAT Dar es salaam)

  Conditions

  (i) 1st and 2nd floors will be used as shops for the community
  (ii) 14th floor will be used as KSI Jamat office just a small portion
  (iii) During the 10th Mohran (Ashura Day),parking will be used free of charge for everyone and that is going to be forever (throughout)
  (iv) The income that will be available for the period of ten years should go to waterwell project.Under this project his representative will be Mr Mohamed Taki.P.Esmail,Shiraz Dewji,Dr John Msuya,and Hon Mustafa Mkulo.However Mr Mohamed Taki.P.Esmail will have a Vetto power.

  N:B: Due to his age,he won't be able to manage those to and fro movement so he has concelled to proceed with the project of constructing water well but he will do so only for that he has committed to various personalities and he has already completed 286 water well up to now.(parking space project will take one year and six months).

  'FOR THIS MY PHILANTHROPIC DREAM WILL BE FULFILLED'

  My take;

  Ujenzi wa visima zaidi ya 286 si jambo dogo.Ameonesha mfano wa kushiriki ujenzi wa taifa kwa kuivest kwenye miradi ambayo wananchi watafaidika moja kwa moja.Kwahili nampongeza mzee wetu huyu Mungu azidi kumpa nguvu ili walalahoi walau wafaidike.  MTAZAMO
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Kila mkoa walau vikichimbwa idadi kama hiyo wananchi walau watajiona wapo duniani jamani.kuna mikoa hata hapa hapa Dar issue ya maji ni balaa!
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nahisi ataishi zaidi kwa dua za wasaidiwa!!
  BIG UP SABODO
  dhambi ya uccm ulishasamehewa baada ya kujitambua
  na kutowaamini ndo maana unasimamia mwenyewe!!!

  :clap2::clap2:  :clap2::horn::clap2:
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Unajua kuna hatua inafika,hela unaiona si kitu!
  Matajiri wengine hawajafikia hiyo stage... Bill Gates amefikia,ndiyo maana dawa ya mseto ya Malaria,actual amount ingekuwa 40,000,lakini tunaipata kwa "buku" tu!

  Yaani unaona utajiri wangu huu una maana gani? Kama unaweza kuutumia utajiri wako kusaidia jamii fulani ya watu,siyo kwamba italeta maana zaidi?
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kama Rostam, Chenge, Mkapa, Yona, Lowasa, Mgonja na mafisadi wengine wote wangeamua kutumia fedha zetu walizokwapua kuwekeza katika miradi ya kijamii hapa hapa nchini angalau wangesaidia kupunguza maumivu kwa wananchi na huenda ingekuwa kazi rahisi kwa wananchi kuwasamehe.

  Lakini wao wametuibia fedha zetu na kuzikimbiza kwenye mabenki yaliyoko nje ya nchi, na hususan ulaya na matokeo yake fedha zetu zinajenga uchumi wa watu wa ulaya then wao wanazitumia kutupatia misaada aambayo mafisadi wachache tu wangeweza kutoa mafungu na mradi husika ukukamilika.

  Pongezi zake mzee sabodo, wasaidie wananchi wenzako kwa kuwatengenezea miradi ya kijamii inayokidhi mahitaji yao hasa sekata ya maji ambayo iko nyuma sana, muhimu ni wananchi wa maeneo husika waliojipatia miradi hiyo ya maji kuitunza na kuiendeleza.
   
 6. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu inabidi hivi visima viwe chini ya wananchi wenyewe waunde kamati zao kusimamia miradi hii na ripoti zake zisomwe kwenye mikutano ya kijiji.Mainginia wa maji wa wilaya wawe wajumbe tu wa kamati hizo kwa ushauri!
   
 7. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Big up Sabodo.
  Jah bless.
   
 8. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,940
  Likes Received: 1,477
  Trophy Points: 280
  Hongera mzee Sabodo kwa moyo wako na utu ulio nao,Hakika ni mfano wa kuigwa!
   
 9. m

  massai JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  MUNGU ampe nguvu,hawa ndio mashujaa wa hili taifa sio hawa wengine kina mkapa wenye kuporomosha matusi majukwaani natambo zisizo na tija.mashujaa wakweli watatajwa na wananchi sio viongozi wezi na mafisadi.
   
 10. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  "You have a moral responsibility when you've been given far more than you need, to do wise things with it and give intelligently," Rowling
   
 11. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hao uliowataja,bado wanahangaika kutafuta ili wapate "self esteem"

  Self esteem ni kama mbingu,haifikiwi kwa njia hiyo...
   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Yaani walichonacho hakiwatoshi! Bado wanachacharika kama akina siye! Mungu aniepushe na tamaa ya kiwango hicho! Sabodo ameshaona yote haya ya duniani tu!!
   
 13. F

  Froida JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Maji ni uzima na heri ,Hongera Sabodo kwa kuwapa maji watoto wake waume na wananchi wengi unafuu wa kupata maji Mungu akusaidie na kukuzidishia yeyote awekae kivuli kwa muhitaji huzidishiwa
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  2nd to none in Tanzania.
   
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  mbona huyu mzee hawampi phd feki za heshima kama za mengi,jk,lwakatare,nchimbi huku hakuna wanachofanya?
   
 16. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Wakati tukimshukuru Sabodo kwa juhudi zake juu ya Maji,Sehemu kubwa ya jiji la Dar halina maji kwa karibia siku ya tatu tena bila taarifa yoyote!! Maeneo mengi watu wanahaha kutafuta maji hata ya kupikia lakini hali imekuwa tete! Binafsi ni muhanga wa tatizo la maji maeneo ninayoishi! Tukisema tunaonekana maadui wa watawala wetu!!
   
 17. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Sio mnampongeza tu omben mungu zalishe sabodo's kibao maisha yaende sawa hata kama si kukaribiana basi kunusiana
   
Loading...