Huduma kukatika bila ya taarifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma kukatika bila ya taarifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by O-man, Mar 17, 2012.

 1. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii sijui imekaaje. Utakuta maji hayatoki kwa siku kadhaa na mamlaka husika haisemi kitu. Tamko hutoka baada ya malalamiko ya watumiaji kunadiwa kwenye vyombo vya habari. Huu mtindo umekuwa ni kawaida sasa. Na sasa imeanza ya umeme. Upo mgao ambao ni wa kunyatia na mamlaka husika haijatoa taarifa kuhusiana katika katika ya umeme inayoendelea. Kwa mtazamo wangu: tumefika mahali nchi haina tena uwajibikaji na kibaya zaidi hakuna wa kumwajibisha anayekosea.
   
Loading...