Lowassa kuunga mkono kauli ya lusinde.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Kitendo cha lowassa kumfanyia kampeni SIYOI atakuwa ametimilza kauli ya LUSINDE ya kwamba wamchague SIYOI kwa ajili ya manufaa ya kifamilia kwani mtoto wa Lowassa ni sehemu ya familia ya SIYOI kwahiyo atakuwa ameifanyia kazi kauli ya LUSINDE kimatendo.
 
Lusinde alichofanya ni kuwaambia ukweli wanaArumeru, kwani sababu ya CCM kumpa nafasi hiyo SIOI ni kupata ajira na si vinginevyo! Wanaarumeru amkeni.
 
Kitendo cha lowassa kumfanyia kampeni SIYOI atakuwa ametimilza kauli ya LUSINDE ya kwamba wamchague SIYOI kwa ajili ya manufaa ya kifamilia kwani mtoto wa Lowassa ni sehemu ya familia ya SIYOI kwahiyo atakuwa ameifanyia kazi kauli ya LUSINDE kimatendo.

Hatuwezi kujadili ninge, sema Lowasa kapanda jukwaa la CCM lini na kampeni alifanyia wapi?

Nadharia kama hizo ni uzushi japo jamaa wanamharibia kishenzi Sioi kwa kufuk moshi majukwaani.
 
Eti, mhurumieni jamani huyu kijana, mpeni Ubunge afute machozi, ana mzigo mkbwa sana wa kifamilia. mpe ubunge asaidie familia aliyoachiwa.... Huu ni upuuzi katika kampeni za Tanzania. Bila shaka wana- Arumeru Mashariki siyo wapumbavu kung'amua hili.
 
Back
Top Bottom