Sifa za Viongozi wetu na Chama Tawala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za Viongozi wetu na Chama Tawala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAGEUZI KWELI, Mar 20, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  [h=6]Si kusema kwa ubaya nadhani ndiyo ukweli halisi

  1: VIONGOZI WAMEJIPENDA KULIKO KUWAPENDA WANANCHI WALIOWATUMA KUWATUMIKIA.

  2: VIONGOZI WAMEKUWA WAKIOGOPANA WENYEWE KWA WENYEWE KWA KUKEMEANA PALE MMOJA ANAPOENDA TOFAUTI KIUTAWALA.

  3: RAIS AMEKUWA NI MGUMU SANA KUWA NA MAAMUZI PALE ANAPOTAKIWA KUCHUKUA HATUA MUHIMU KATIKA KUJENGA MISINGI YA UTAWALA BORA.

  4: VIONGOZI WAMEKUWA NA VIGUGUMIZI KWENYE KUTOA KAULI HASA ZINAZOTOKANA NA WASIWASI UNAOKUWA KWA WANANCHI NA PALE KIONGOZI ANAPOTAKIWA KUTETEA MAAMUZI WANATOA KAULI NYUNGI TOFAUTI.

  5: WAMEKUWA NI VIONGOZI WENYE KURITHISHANA UTAWALA PALE INAPOTOKEA MKUBWA MMOJA KAAMUA KUJISTAAFU NA KUTOA NAFASI KWA MTOTO.

  6: MASKINI WAMEKUWA HAWASIKILIZWI NA PALE INAPOTOKEA HOJA ZA KUOMBA KURA RUSHWA YA PESA IMEKUWA NDIYO CHAMBO KWA KUWATEKA MASKINI.

  7: WAMESHINDWA KUIKUZA ELIMU YA TANZANIA ILI WEREVU WASIWE WENGI NA IMEKUWA NI SHIDA KUPATA WASOMI WENGI.
  [/h]Jikumbushe na uongezeage
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Tumekuelewa sawa
   
Loading...