Mkurugenzi aliemtangaza Serukamba aingia mitini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi aliemtangaza Serukamba aingia mitini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgadafi, Mar 21, 2012.

 1. m

  mgadafi Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aliyekuwa mkurugenzi wa Kigoma Mjini na ndiye aliyempa ushindi feki mbunge wa Kigoma Mjini hataki kuja kujibu shtaka.

  Wana JF, atakayemwona amkamate na amrudishe Kigoma kwani yeye ni mshtakiwa wa pili ila mahakama imeanza kuskiliza kesi kutoka Kigoma.
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nani kashataki?
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  mbona sikuelewi?unamtafuta wewe au mahakama?
   
Loading...