Kulikoni jeshi la magereza........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni jeshi la magereza........?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Mar 20, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kuna taarifa, kuwa wafungwa wengi wanawake, waliohukumiwa vifungo, hapo kabla hawakuwa wajawazito, lkn kadri siku za kutumikia kifungo zikisogea wafungwa hao wanabebeshwa mimba na hatimaye kujifungua , jamani mnaojua hebu tuhabarisheni kunani paleeeeee........, nanyi Tamwa mko wapi.....?
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuuh nani anayeingiza hizo mimba au rushwa ya ngono pia inaendelea gerezani kwa ajii ya wali na nyama instead of maharage na dona
   
Loading...