Hivi huyu mheshimiwa shibuda anafaa chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huyu mheshimiwa shibuda anafaa chadema?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TWIZAMALLYA, Mar 21, 2012.

 1. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chaguzi mbalimbali zinaendelea hapa nchini,kuna uchaguzi wa ubunge Arumeru na uchaguzi wa udiwani huko Mwanza.Wapiganaji mahiri wa Chadema wanazunguka maeneo hayo lakini mtu huyu wala hasikiki popote kusaidia kampeni za chaguzi hizi.Hivi kuna tatizo gani hapa naomba mwenye data azimwage hapa.
   
Loading...