hivi kikwete kamtoa wapi huyu mtu

Budo

Member
Jul 14, 2011
15
2
Najua ameanza toka kipindi cha hayati mwl nyerere pia akaja kipind cha mzee mwinyi mpaka kwa benjamin mkapa...hamna alichofanya mpaka leo zaidi ya kuropokaropoka tu na kusinzia bungeni.....cha ajabu kikwete na yeye kamleta kwenye serikali yake! Hivi yeye ndo kabeba mikoba ya ccm nini??? Sasa mtu unaenda kwenye kampeni halafu unazungumzia wachumba wa watu hiyo ni akili au matope! Kwel ccm hamna mtu mwenye akili tena ndo maana mmemuona yeye ana afadhali! Namzungumzia kilaza wassira
 
Mnamzungumzia nani? huyu dubu ama kuna mwingine?
248535_1568898842040_1822557997_1004229_4435893_n.jpg 248535_1568898842040_1822557997_1004229_4435893_n.jpg
 
Sina uhakika kama hiyo ni sura ya binadamu, naona kama photoshop au kajivisha kinyago cha yule mnyama maarufu wa hifadhi ya Gombe
 
sina uhakika kama hiyo ni sura ya binadamu, naona kama photoshop au kajivisha kinyago cha yule mnyama maarufu wa hifadhi ya gombe

hiyo ndiyo sura yake mkuu na hapo amepozi na kuachia tabasamu la mwaka!!!!!
 
Kwake evolution bado inaendelea, yeye sasa ni Zinjanthropus. atakuwa handsome miaka ya 2070 hivi, msihofu mazee.
 
Najua ameanza toka kipindi cha hayati mwl nyerere pia akaja kipind cha mzee mwinyi mpaka kwa benjamin mkapa...hamna alichofanya mpaka leo zaidi ya kuropokaropoka tu na kusinzia bungeni.....cha ajabu kikwete na yeye kamleta kwenye serikali yake! Hivi yeye ndo kabeba mikoba ya ccm nini??? Sasa mtu unaenda kwenye kampeni halafu unazungumzia wachumba wa watu hiyo ni akili au matope! Kwel ccm hamna mtu mwenye akili tena ndo maana mmemuona yeye ana afadhali! Namzungumzia kilaza wassira

Teh Teh Teh!
Kwahiyo na babu yako KAMBARAGE kilaza,,, maana yeye ndie aliemuweka kwenye system...
by the way,, uwe mvumilivu kama unapenda SIHASA..
 
Sipati picha nitakavyokimbia usiku wa manane nikikutana naye anatembea kwa mguu
 
Bonge la HB! Yaani hapo ndo alikuwa ana pose kwa picha ya kuweka kwenye kumbukumbu za bunge!
Huyu ndo kichwa kwenye ccm! huyu hafai hata kucheza na wajukuu, lkn ndiye anaongoza nchi!!! Watu hawajui kwa nini nchi imeshindwa ku- move ni kwa ajili ya vikonge hivi kushindwa kustaafu.

Research zilisha fanyika, ukifikisha miaka 60 unapashwa kupumzika nyumbani. Ajabu ccm kimekosa mwelekeo kwa kukumbatia hivi vikongwe
 
Kuna watu wana mambo..

Eti katoroka Gombe,kaja huku na kupokelewa na wenzetu,wakamlea hadi alipofikia sasa anatusumbua,na anajidai hata kurudi kwenye asili yake hataki..!
 
katoka kuropoka tena sasa hivi kwamba wakimchagua sioi tar 1 april,tar 10 anaapishwa na baada ya hapo vijana watawezeshwa kupatiwa fedha toka mfuko wa TASAF ili waende wakaanze kujasiriamali.
Swali langu ni kuwa walikua wapi siku zote kuwawezesha hao vijana?
Ccm michosho sana
 
Back
Top Bottom