Agakhan Hosp wasitisha huduma za NHIF baada ya madeni kuzidi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agakhan Hosp wasitisha huduma za NHIF baada ya madeni kuzidi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MTAZAMO, Mar 20, 2012.

 1. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,494
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Mods naomba msiichanganye na ile ya malalamiko ili wahusika wapate ujumbe vizuri! Hii ni aibu kwa taasisi kama hii kushindwa kulipa madeni! Source mimi mwenyewe nimeshuhudia tangazo Agakhan hospital!
   
 2. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah...

  Watatuambia hizo ni changamoto... Lakini jana Pinda ,si alikuwa na kikao/mkutano na hao jamaa wa NHIF?
   
 3. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,299
  Likes Received: 10,473
  Trophy Points: 280
  agha kahn na hospitali nyingine za binafsi ni baadhi ya wahuni wanaowasilisha madai feki.hebu NHIF fanyeni uhakiki kabla ya kulipa.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,494
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu process za madai wanaestablish NHIF wenyewe hivyo kama kwa ulimwengu huu wa teknolojia bado NHIF wameshindwa kudhitibiti hilo ni aibu! Kwanini mgonjwa apate tabu while amechangia muda mrefu mapesa kibao?
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hawa NHIF vipi, wanatukata pesa nyingi halafu huduma katika hospitali hatupati kisingio kikiwa malipo.
   
 6. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,494
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Mkuu mpaka Agakhan kuweka tangazo wazi kabisa lipo tatizo! Alafu hawa ndio wanakusanya pesa karibu watumishi wote wa umma! Mfumo wa uendeshaji Insurance hasa afya kwa hapa Tanzania nashangaa kwanini washindwe kulipa?
   
 7. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hili tatizo limedumu kwa muda sasa. Walisema ni la muda mfupi tu lingeisha lakini naona hakuna ufumbuzi. Katika Hospitali zote TZ Aghakhani ndo wana vifaa zaidi. Ila kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu kuna baadhi ya Hospitali ikiwemo Regency (Sijuwi kwa Aghakhan) ni kweli huwa wanapeleka madai NHIF feki. Unatibiwa tumbo ukiondoka wanaandika umefanyiwa operesheni ya sikio pesa nyingi zaidi zinadaiwa. Wahindi waache uhuni wao na inapobainika wawapeleke mahakamani kwani huo ni wizi.
   
 8. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mleta mada fanya utafiti vizuri, habari hizo si za kweli nilichosikia mimi ni kuwa aga khan wanataka kulipwa hela nyingi zaidi kwa consultation, hapo mwanzo mteja mwenye kadi ya NHIF huwa alikuwa anatozwa 40,000 kwa consultation tu excluding vipimo na upasuaji mwingine, wakati wenye kadi za strategies na zingine si hivyo hilipa chini ya kiwango hicho per service ,aga khan kwa sasa wanataka consultation iwe zaidi ya hiyo 40,000 NHIF wakawambia watafikiria kwani gharama hizo ni kubwa sana, aga khan wakasitisha huduma kushinikiza. si kwamba walishindwa kulipa madeni kama wana vyotangaza Aga khan
  source: mteja mwenye kadi hiyo na anayepata huduma huko.
  hata mimi nashauri NHIF ifanye utafiti zaidi kabla ya kukubali kulipa kiasi cha ziada ya hicho.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  NHIF yenyewe ni mzigo kwa watumishi wa sirikalini
   
 10. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mi nafanya kazi kwenye sekta hiyo...

  NHIF wanachoshangaza ni pale wanapokwambia hawatakulipa kwa kasoro ambazo ni rahisi kuzioverlook,na zinahitaji "common sense" ndogo sana.
  Mfano: -Age, 47 eti ni kosa,na hawalipi...unatakiwa uandike 47yrs!
  -kutokuwepo/kusahaulika Tarehe,Code ya vipimo,ugonjwa....
  -gharama ya dawa,na vipimo,wakati bei ziko fixed,zinajulikana..

  Yaani wako makini kuangalia makosa ili wasikulipe wakati wanajua huduma,pamoja na dawa vyote vimetolewa na kituo,hospitali husika..
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,494
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa taarifa,tunategemea taarifa rasmi kutoka NHIF kuondoa mkanganyiko huu maana nilipomuhoji mfanyakazi mmoja wa pale akajibu wanadaiwa NHIF! Hii haileti picha nzuri kwa shirika tegemeo kama hili!
   
 12. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,299
  Likes Received: 10,473
  Trophy Points: 280
  NHIF iwezesheni muhimbili,ocean road,temeke,amna, mbeya na hospitali nyingine za serikali ili ziwe na vifaa na dawa.hawa ni waaminifu kuliko uhuni unaofanyika uko agha kahn.wanatujazia midawa ya bei ghali ili waingize fedha.hawana lolote hawa hata zito walishindwa kujua anaumwa nini.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 13. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,299
  Likes Received: 10,473
  Trophy Points: 280
  hebu tujiulize kama vituo vingine vinavyotoa huduma ya bima ya afya kama vimepata usumbufu wa malipo.kama ni hawa wahindi pekee tatizo sio nhif.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  agha khan si mnatibiwa nyie wenye green card?sisi wa pink tuachieni tutibiwe mikocheni hosp.Ubaguzi wazi wazi
   
 15. kiagata

  kiagata Senior Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Poleni sana,lakini huenda wamegundua kasoro katika hospitali zenu ni nyingi na mara kwa mara kuliko Hospitali nyingine.
  Kwani Hospitali zingine hawana kasoro kama hizo za age 47 badala ya age 47 yrs?. Hapa kuna jambo.
  Mimi ninachotambua kinachogombaniwa ni je:tiba ilitolewa ktk Hospitali hiyo kwa kiasi cha dawa husiaka na kiasi fulani cha fedha?.Siyo inaonekana umetoa chroquine au Quinene kwa mgonjwa wa kipindupindu hapa hulipwi mkuu.
  Ngoja tuone nao watatoa sababu.
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,079
  Likes Received: 6,542
  Trophy Points: 280
  waachie wenzao wanaoweza kulipa madeni,
  hela tunakatwa kibao wao wanatanua nazo mjini. lol.
   
 17. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kusipowekwa vigezo kama hivyo utagundua vipi udanganyifu, usipende ku overlook problems coz problems are to be solved not to be overlooked.
  mtoto wa miaka 2 apewe dozi za mtu wa miaka 80 hata kama ungekuwa mkaguzi wa ungeona hilo ni sahihi?
  ukumbuke mfanya biashara yoyote hutaka ziada watoa huduma haswa hawa binafsi wanashindwa kufoji ili kupata ziada?
  tusiwalaaumu sana tuangalie kwa undani lawama watu wazitoazo
  hapa kuna makundi matatu watoa huduma ambao hawana dawa wala huduma za kueleweka,watu wachangiao kila mwezi na NHIF mlipaji.
   
 18. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  1) Agakhan, wanatozo kubwa sana isivyo halali (ukizingatia hii ni non-profit organization = hailipi kodi).
  2) Kuna tetesi pia kuwa hali ya kifedha NHIF sio nzuri karibu mwaka sasa:
  (a) wafanyakazi ndio pekee hukatwa 3% ya gross salary kama mchango wao, serikali haipeleki sehemu yake ambayo pia ni 3%; hili pia limeanza kwa malipo ya uzeeni (pension) kuanzia mwaka huu wa kifedha. Kwa wafanyakazi wa serikali angalia salary slip yako, there is no more employer's contribution).
  (b) Matumizi ya NHIF hayaelekizwi kwenye (matibabu). Sasa ni makongamano, miaka 10 ya NHIF, kununua madawati, posho kuzunguka nchi nzima, kuwapeleka wazito nje kenye matibabu, mikopo ya ujenzi wa hospitali na vituo vya afya, etc.​
   
Loading...