Waziri mkuu msataafu atembelea shule ya Secondary ya Ann's | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu msataafu atembelea shule ya Secondary ya Ann's

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by vivian, Mar 20, 2012.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"] Wanafunzi wa Shule ya Sekindari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's iliopo Mkoani Morogoro wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Mh. Waziri Mkuu Mstaafu.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro,Sista Dennis wakati alipofika shuleni hapo na kuzungumza na wanafunzi wa shule hiyo,ambapo aliwataka wanafunzi hao kusoma kwa bidii ili waweze kuwa viongozi wa baadaye.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu mstaafu,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Shule ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"] Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.
  [​IMG]
  Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.


  Na mwandishi maalum
  Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa, amewataka wanafunzi wa kike kusoma kwa bidi ili waweze kuwa viongozi wa baadaye.Mh Lowassa aliyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na wanafunzi na viongozi wa shule ya sekondari ya wasichana ya mtakatifu Anns iliyoko Morogoro.Aidha Mh Lowassa alitoa zawadi ya mpira kwa kila darasa katika shule hiyo, ikiwa ni katika kuhamasisha michezo mashuleni.Naye Mkuu wa shule hiyo Sister Dennis pamoja na wanafunzi na watawa wengine shuleni hapo walimtakia Mh Lowassa afya njema ili aweze kuendelea kuwatumikia watanzania.​
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. A

  Anold JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Wanabahati hao wanafunzi kwani kwa taarifa za kuaminika Mheshimiwa huyo mialiko ya kutembelea sehemu mbalimbali imejaa mpaka mwezi wa kumi 2012.
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  inawezekana huyu jamaa sio fisadi kama tulivyoaminishwa...yes..mbona sitta alituaminisha mwakyembe aliwekewa sumu only to find out it was a stupid lie.,,.iam only thinking don't skin me people.
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  naona EL anapata mialiko mingi kuliko pm pinda imekaaje?mh sitta uroho wa urais unamsumbua
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakika alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani. Wanafiki Sitta na Mwakyembe walijaribu kuififisha nyota ya Lowassa lakini wameshindwa vibaya sana.
   
 6. M

  Mbuki Feleshi Senior Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kazi nzuri sana, Mungu amjaalie afya njema!
   
 7. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnaniuzi mnaomwita Lowassa waziri mkuu mstaafu, alistaaf lini? Huyu ni waziri mkuu aliyejiuzulu/ waziri mkuu mjiuzulu.:A S 13:
   
 8. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nimecheka sana dadii.

  Inabidi tujadiliane na Bakwata.
   
 9. Ngararimu

  Ngararimu Senior Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  MODERATOR!!!!!!Tafadhali sana naomba umzuie Vivian kutumia vibaya jukwaa hili la great thinkers. Inaonekana uzi huu aliouanzisha ni kampeni za mbio za uraisi mwaka 2015 bila kujali anayefanyiwa kampeni ataibukia toka chama gani cha siasa. Suala la waziri mstaafu kutembelea convent ya masister na mkewe pale st. anne kihonda ni issue kweli ya kudadavuliwa humu jamvini??? Tena kwa mshangao zaidi naambiwa eti katoa zawadi ya mpira mmoja mmoja kuhimiza michezo mashuleni!!!!!!!!!. Nilitegemea angeahidi kejenga maabara ya kisasa kabisa pale st.Anns na kuahidi kuwanunulia reagents za maabara kwa kipindi cha miaka 5 ili kuinua uelewa na ufaulu wa wasichana katika masomo ya sayansi waweze kukabili ushindani uliopo katika soko la ajira. My take You can not cheat all Tanzanians all the time. huuu ni uongo na ulaghai wa mchana kweupeeee!
   
 10. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  na kweli AMESTAAFU WAPI NA LINI.......? HUYO ALIJIUZURU. ingelikuwa huko kwa wenzetu duniani jamaa mida hii anafanya shughuli zake baada ya kashfa ile kumlazimisha kujiuzuru lkn huku dunia ya tatu mmmh..........!!!
   
 11. I

  Isaiah 54 Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa anatisha
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu unajuaje huo ni mwaliko au alijipeleka?
   
 13. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaa.........weye bana!!!

  Tabu kweli!!!
   
 14. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  utakuwa una matatizo sio kidogo.
   
 15. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Anasingiziwa huyu, ndiyo maana hata alipomuuliza kikwete kwamba ishu ya Richmond yeye alikataa lakini Kikwete alilazimishwa na mpaka leo kikwete hajakana
   
 16. Ngararimu

  Ngararimu Senior Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Tafadhali sana naomba uainishe matatizo yangu moja baada ya lingine ili kunielimisha mimi binafsi na great thinkers wengine vinginevyo ondoka haraka humu jamvini maana huna haki yoyote ya kuongea kabla hujafanya utafiti na kuyatambua matatizo mengi na siyo kidogo yanayonikabili kama unavyosema....kichambo wewe!!
   
 17. kyangara

  kyangara Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ha ha ha ha Mkuu umemwita KICHAMBO kabisa,lol,ngachio baasi!!!!
   
 18. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa sababu hana kazi ya kufanya.....!acha ale maisha kwa kutalii tanzania nzima lakini urais hapana.
   
 19. L

  LISAH Senior Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wa TZ wanafki msimpake mafuta kwa mgongo wa chupa mzee wawatu

  Ni waziri aliyejiuzuru kwa manufaa ya umma
   
 20. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hivi lile fisadi lenzake (ROSTAM AZIZ)limekimbilia wapi siku hizi naona waziri mkuu aliyjiuzulu kwa kashfa ya ufisadi siku hizi a anaranda randa pekee yake akiitumia mbeleko ya mkewe ndio imbebe.Naona genge lao limeparaganyika,walisumbua sana hawa watu enzi zao.
   
Loading...