Kila mtu anakula mahali pake pa kazi-Mwantumu Mahiza mkuu wa mkoa wa Pwani, umenihuzunisha sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mtu anakula mahali pake pa kazi-Mwantumu Mahiza mkuu wa mkoa wa Pwani, umenihuzunisha sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 20, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Ni vituko vya mwaka kwa kweli niliposikia clouds fm mama mtu mzima anajigamba yeye amefanya kazi kama naibu waziri miaka mitano akitetea swala la watoto kuwekewa alam..huku bila aibu akidanganya ati watoto hao wanaumwa moyo na kifafa na si ukimwi

  pengine hujui hii topic..kuna shule pwani wameweka watoto alama wanaoumwa ukimwi ..habari hizi ziliendelea mpaka kwenye magazeti mpaka wanaharakati walipopelekwa na kuona live..

  Katika kujibu mama huyo mtumzima akidai yeye ni mwenye busara sikiliza majibu yake

  ""nimepiga jahazi kuwajulisha wapenzi wa jahazi waajue ukweli ni kweli watoto hao wamewekewa alama na kisa wanaumwa moyo wengine kifafa na wazazi wao wanajua hili....wakati huo huo akiulizwa kuhusu kwa nini wawekewe alama akajichanganya nafikiri hili swala tuwaachie walimu nahisi wazazi wao wamekubaliana na awakukurupuka tu kuweka alama

  alipoulizwa mama mwantumu kuna uhakika kuna taasisi ambayo inatoa misaada shuleni na ndio waliotoa masharti watoto wanaoumwa kuhakuksha wanawekewa alama..wewe kama mh mkuu wa mkoa unaonaje uoni kuna mambo ya maslahi hapo sikia jibu

  """nyie jahazi naomba muwe watu wazima kila mtu anakula mahali pake pa kazi msituaribie kazi kabisa ""
   
 2. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hata bosi wake angejibu hivyo hivyo, tusishangae!
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  pinda angelia,jk angesema hata mimi sijui,wasira angerusha ngumi,rage bastola angetoa, malima ak47 ingetoa majibu......endeleza
   
 4. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  MKAPA; mna wivu wa kijinga, leteni ushahidi.POMBE; pigeni mbizi.............
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  kama mh mkuu wa mkoa anaerepresent raisi aanajibu hivi nahisi hiiii misaada anayotetea anagawana na wakubwa zaidi yake sio hivi hivi jamani naomba msikilize kesho jahazi ni aibu ...nyie vvipi jahazi kila mtu anakula mahali pake pa kazi kumbe RAISI AANAPOWAAPISHA ANAWAAPISHA WASHENZI BILA KUJUA NA KILE KITABU ANACHOWAPA MNAAMBIWA MKAIBE MAHALI PENU PA KAZI SIYO LOH...HAYA NASUBIRI MMGOMO MWINGINE NAO WALE MAHALI PA KAZI LOH
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  si kasema ukweli,
   
 7. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Shost wa ma Salma huyo
   
 8. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Mbuzi anakula urefu wa kamba yake
   
 9. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni mokawapo ya vijitatizo vya kuchagua kampani yako,mashosti wa mkeo,wanajeshi wenzako,washkaji.... Ila vinavumilika..
   
 10. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hayo ndio majibu ya viongozi wetu,kaazi kweli kweli
   
Loading...