Aliyemwagiwa tindikali awekewa sura bandia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyemwagiwa tindikali awekewa sura bandia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EasyFit, Mar 18, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Musa Tesha (24), mkazi wa mtaa wa Mwayunge wilaya ya Igunga mkoani Tabora, aliyemwagiwa tindikali usoni mwaka jana wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Igunga amewekewa sura ya bandia katika hospitali ya Apollo nchini India.
  [​IMG]

  Anavyoonekana baada ya kumwagiwa

  1.jpg acidMussaTesha.jpg
  Baada ya kuwekewa sura bandia

  Akizungumza na NIPASHE Jumapili nyumbani kwake hivi karibuni, Tesha alisema watu wasio na huruma walimfanyia kitendo hicho cha kikatili huku akiwa hana hatia. Musa alisema waliohusika katika tukio hilo ni marafiki zake wa karibu ambao mara kadhaa walikuwa pamoja, wakitaniana kwa furaha ila hawataji kwa majina.

  Musa alifanyiwa upasuaji na kumuweka sura bandia kwa kutumia nyama ya pajani. Akarejea akiwa na sura ya bandia.Hata hivyo Musa anasema ana matumaini makubwa ya kurudi kama alivyokuwa awali, kwani madaktari wa hospitali hiyo walimueleza anatakiwa kufanyiwa upasuaji mara tatu ili kufikia hali hiyo. Upasuaji wa awamu ya pili atafanyiwa mwanzoni mwa mwezi ujao mwaka huu.

  MY TAKE: Mwigulu najua wewe unajua hali halisi ilivyokuwa tunaomba haya yasitokee tena, hatuwezi kuvumilia unyanyasaji huu kwa ajili ya kujitafutia sifa za kisiasa.

  Kwa upande wake Musa naye ni mjinga kama watu waliohusika anawajua kwa nini asiwataje, acha ajute.

   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Anawajua waliomfanyizia lakini hawataji majina? Nashawishika kuamini ile habari ya kudhulumiana pesa ya Nchemba Mwigullu.
   
 3. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hii ilikuwa mission ndio maana nimemuonya Mwigulu asitumie miili ya wengine kutafuta umaarufu.
   
 4. d

  dguyana JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ninavyomjua Mwigulu huyu dogo angekuwa ametendwa na vijana wa cdm ingekuwa sera yake. Ila kwa huyo dogo kukaa kimya inaonyesha ni wao kwa wao. Ila mbaya sana hii kitu na lana yake mungu anaijua. Mwigulu njoo utuambie huyu dogo ilikuwaje maana nadhan wewe lazima atakuwa amekusimulia mkasa uliompata.
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Huyo musa anakaa igunga??
  Waache uwongo.
  Uyo dogo nasikia ni mwenyeji wa dodoma na anaishi uko dodoma.!!
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni kama mtu anauza redio yake alfu anaenda kumgombeza mkewe kuwa redio imeibiwa.
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ndo faida ya kuisaidia CCM iyoooooooooooo
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Changa la macho hilo,tindikali kamwagiwa na wenyewe sisiemu wamempa mpunga huyo mussa na kumuhaidi kwamba atarudia hali yake! Changa la macho hilo wamemwagia wao wenyewe.
   
 9. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,062
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  Mbona Ndugu Mwigulu uko karibuna muathirika? Kwanini upige naye picha ukiwa umevaa ki CCM? Kwanini kuiibua hii stori wakati wa uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki? Kuna ajenda GANI?
   
 10. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Anatafua mteja mwingine...nasikia dau ni 6M.
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hivi kubenea alimwagiwa tindikali kweli?
   
 12. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu dogo alikubali kujitoa kwa ajili ccm, kwa kuahidiwa kujengewa nyumba na kupatiwa matibabu bila kujua madhara ya tindikali.
   
 13. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,062
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  Yaani, ili CCM wapate nini wakati ule wa uchaguzi Igunga?
   
 14. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndo siasa ya tanzania chadema oyeeeeee
   
 15. Jackline C.Marandu

  Jackline C.Marandu Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh nina wasiwasi mbona wengine huwa wanaumia katika siasa zao bt hawahangaikiwi kama huyo waliompeleka india
   
 16. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndo siasa ya tanzania chadema oyeeeeee
   
 17. K

  KABUKANOGE Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MKAPA alimuua Nyerere
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red kun mashakakidogo
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hizi siasa za kutafuta sympathy mbaya sana, ona CCM walivyomuumiza kijana wa watu! hivi Hawajui kuwa kuna mungu? na kuna siku moja watakuja kujibu haya yote mbele za mungu?
   
Loading...