Kesi ya vinega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya vinega

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtengwa, Mar 21, 2012.

 1. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,737
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Leo mida yaa saa 7 mchana, mahakamani kisutu shauri ya kesi iliyofunguliwa na Joseph Kusaga (clouds entertainment) dhihi ya Mapacha ( Vinega). VINEGA wote na wapenda harakati za Anti virus, kama vipi tutokee kwa wingi kuonyesha support. WITH NO APOLOGY
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,566
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kwa faida ya wale tusiokuwa na taarifa ya hili tukio unaweza kutoa ufafanuzi, ni akina nani wanaoshitakiwa i mean majina yao na ni mashitaka gani hayo?
   
 3. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora wakamatwe na hatia tu wafungwe ili wapunguze kuvuta bangi
   
 4. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama unataka kufunga wavuta bangi hakikisha unajenga jela yenye ukubwa wa mkoa mzima wa Dodoma.
   
 5. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,737
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  wanaoshitakiwa ni doctor K na D wa mapacha
   
 6. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,737
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  sitaki kuamini hapo ndo mwisho wako wa kufikiri
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  hapa nitapima uzalendo wa SUGU ndani ya VINEGA.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ngoja tuone..
   
 9. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wanashtakiwa kwa makosa gani?
   
 10. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujaeleweka hapa
   
 11. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkoa. Typo tu hiyo
   
 12. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Vinaga watashinda nguvu ya umma ipo imara.
   
 13. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  unajua mashtaka yao?...unajua mfungua mashtaka alijiandaa vipi?..hahahahaha..subiria tusiwe mashabiki
   
 14. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,687
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Hv maana ya hilo jina vinega ni nini?
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Great Thinkers tumemwelewa.....
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,806
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  wamekosa nini
   
 17. G

  Ginner JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,054
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  maskini vinega...njaa ndo zimewaponza
   
 18. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  mimi nimeuliza mpk nimechoka
   
 19. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nino la kiluhya likimaanisha vijana wahuni wahuni wapenda fujo
   
 20. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  ni aina ya ndege ambae hupenda kuruka juu angani pasi kuonekana na pindi ashukapo chini na kuonekana basi ujue kuna jambo

  ila kwa wahusika wanalitumia kama wabishi fulani hivi wasiokubali kushindwa,watetezi wa haki ktk jamii iliyodhurumiwa hiyo ndiyo maana halisi ya hilo neno
   
Loading...