Mamlaka ya maji Musoma ni wahujumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamlaka ya maji Musoma ni wahujumu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MZAWATA, Mar 21, 2012.

 1. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katika manispaa ya musoma,mamlaka ya maji imekuwa ni kero na waiz kupita kias,wanakata maj baadh ya maeneo hata kwa muda wa siku 7 na wakirudisha ni usiku wa manane na ifikapo saa 10 usiku wanakata,na inakuwa ni mara chache sana. Mfano tangu mwez huu uanze wametoa maj siku 5 pekee na ikifika mwisho wa mwez wanaleta bil kama kawaida. Je sis watumiaj wa maj tunauliza hii ni haki?
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  sio haki bana mie mwenyewe ni mkazi wa bweri majengi tuna tatizo kama lako bana sijui tufanyeje bana
   
 3. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Mie ni mkazi wa KIGERA/KIARA yani uku ndo balaa mabomba tunayo na bili tunalipa kila mwezi cha kushangaza ni maji yanapaswa kutoka siku 30 lakini kwa wakazi wa maeneo haya maji yanatoka siku 10 tu kati ya 30 lakini bili tunaletewa ya mwezi mzima na mbaya zaidi maji yenyewe yanatope tupu...sasa tunashangaa nani awajibishwe je MKUU WA MKOA,MKUU WA WILAYA au ni hujuma kwa mbunge wa MH VICENT J NYERERE? siku hizi ndo balaa maji yanatoka usiku wa manane tena kwa saa moja na ziwa victoria tunaliona vizuuuuuuuuuuuri
   
Loading...