'wapigadebe' wasogezwa ikulu..

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ule mradi wa mabasi yaendayo kasi huenda ukawasogeza wapigadebe karibu kabisa na Ikulu ya Magogoni.Hii inatokana na kuanza kwa ujenzi wa kituo cha mabasi hayo mbele tu ya geti la Ikulu upande wa baharini.Hapo pameongezwa upana wa barabara maradufu kujiandaa na kituo hicho.Je,kelele za wapigadebe na abiria zitadhibitiwaje pale?
 
Back
Top Bottom