Sendeka yuko hapa airtel arusha na wapambe awazi wa mireran | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sendeka yuko hapa airtel arusha na wapambe awazi wa mireran

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kijenge, Mar 22, 2012.

 1. kijenge

  kijenge Senior Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Wakuu sendeka yuko hapa airtel anapiga kampeni hivi arumeru mash inaishia wapi?
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Usihangaike na ZUZU
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hakubaliki arumeru mashariki
   
 4. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwambie arudi terrat wanansubiri kule wakafanye mipango ya maendeleo. kwani kule watu hawana mbele wala nyuma
   
 5. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mlabue vibao alafu njoo hapa florida bar nikununulie kiroba cha buku......fasterchemka kabla hajatoka
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kama kuna wapiga kura acha akawape sera.
   
 7. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo maasai si ana bifu zito na mamvi huyo?

  ila inaonekana kashtuka kuwa Sioi hana lake

  magamba wengi wako Arusha kwa utalii wa kisiasa
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Du!
  Nani aliyemruhusu kupiga kampeni kwenye ofisi ya watu huyo?...Huwa huyo jamaa na limwili lake ni kama yuko mbele kwa dakika kadha, maana anakurupuka tu, na anajiona yuko juu ya sheriA!....zoba@jazzBand!
   
 9. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ameshaanza kuomboleza msiba utakaomkumba aprili 1
   
Loading...