Mtafiti1
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 263
- 148
Akubali kuwa kakosea yaishe.
Kukosea ni kawaida ya binadamu na ndio kujifunza.
Kwani mtu mzima akikosea si inaeleweka?
Sasa mlitakaje jamani? Mtu mzima yeyote awaye yule anaweza
kuona " mtu mzima mwenziye kaumbuka".
Hebu tujifanye tumeshaelewa na tumsamehe.
Vyovyote ilivyokuwa, ukweli anaujua mwenyewe.
Kama ni makosa ( kubeba pesa nyingi, kubeba silaha hata zisizo za lazima,
kukaribisha wageni wasiohitajika, kukaa chumba bei mbaya bila sababu,
kutoa maelezo marefu yenye kukinzana etc etc) keshajifunza.
Tumsamehe tu.