Malaya wa kenya waongoza kwa HIV Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malaya wa kenya waongoza kwa HIV Africa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Donkey, Mar 22, 2012.

 1. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 80
  Utafiti uliofanywa na taasisi ya afya ya John Hopkins toka 2007
  mpaka 2011 unaonyesha malaya toka nchi ya kenya wanaongoza kwa maambukizi ya HIV Africa.
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,212
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  duuuu, wa bongo wanashika nafasi ya ngapi, maana baada a dar ni hatari, sikumoja demu kaja kanikanilia , ilikuwa kkwenye pombe, yaani sikuile ualendo ulishinda nishukuru tulikuwa timu na washkaji, la sivyo ningetupia
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,510
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kwa nini usiweke hiyo report hapa!!!!!

  Tiba
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  asante kwa kutujulisha mapema
   
 5. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280

  Ndugu yangu kwenye Pombe ni balaa kwani hata Condom haikumbukwi hapo.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...