Msaada kuhusu Bandarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu Bandarini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Mar 21, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wadau
  nahitaji nipatiwe elimu kuhusu kutoa mzigo bandari ya DSM
  Nina mzigo empty bottles unao elekea bandari ya DSM,tatizo nililo nalo ni kwamba
  1,sijui TRA huwa wanatoza sh ngapi kwa mzigo kama huo
  2.sijui gharama ya kuclear mzigo pindi utakapo wasili
  3.Ni vitu gani muhimu niwe navyo (docoments) ili iniwie rahisi kutoa mzigo
  4.ama kama kuna agent anaweza kutoa mzigo huo basi-nivyema aka ni PM ili niweze kuelewa gharama zake

  maana kila nikijaribu kuwasiliana na TRA kupitia website yao sms yangu ipo pending


  karibuni kwa kunipa maelekezo hayo
   
 2. Invoice

  Invoice Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  First of all you should bring all documents relating to that shipment.
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Peleka document zote ulizo nunulia huo mzigo.
   
 4. mjunguonline

  mjunguonline Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Broo,pole,usikurupuke kuagiza Mzigo wowote nje ya nchi kama hujui ni kwa jinsi gani utautoa.....Ila kwa msaada zaidi,wasiliana na Maagent ambao wanapatikana Mtaa wa Samora jijini Dsm...
   
Loading...