Wanafaidikaje wanaofungua blog,Vituo vya Tv,Redio n.k

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Wakuu,naomba msaada wa kujuzwa ktk hili:Unakuta mtu anaazisha blog,mf.Hii hapa o Mjengwa,n.k.Anafaidikaje coz inabidi awekeze kwenye,human resourc.,financially position,digtal eguipments e.t.c.Faida anaipataje?Kuna ruzuku au ndo ile ya u famous kwenye jamii?asante kwa kunielimisha ktk ilo
 
Na wewe unataka kufungua blog yako nini? Umeamua kuanza kufanya utafiti kwanza. Kwa sababu wahusika hata humu wamo bila shaka watakujibu.
 
Hapana mkuu.Sometimes nashindwa kupata logic wanafaidikaje?
 
unaweza kufungua blog pia ukawa unatangaza biashara za watu ukapata pesa,mimi niko na blog 4 lakin sijaziweka kibiashara ila hizo blog 4 zimenifanya kupata mialiko U.K,Uholanzi,Sweden,South Africa,Japan,Korea,Ethiopia,Denmark na nchi nyingine kama 10 siwez taja zote,hiyo ilitokana na kupata marafiki na wakaipenda blog yangu,wakanialika kutembea na kubadilishana mawazo kuhusu tanzania,nilianza mambo ya blog 2007 nikiwa chuo Malaysia,nilifundishwa na rafiki yangu wa uko Malaysia ambaye yeye alikuwa analipwa pesa kutokana na idadi ya watu wanaotembelea blog yake ambayo yeye aliiweka kibiashara zahidi na hivi sasa ni tajiri kwa sababu tu ya blog na hakuna kazi nyingine anayofanya,hivo ukiwa creative blog inalipa sana,unaona jinsi Michuzi alivyoanza,mialiko aliyokuwa anapata etc,never give up
 
mkuu,nashukuru sana angalau nimepata mwanga mwanga .thumbs up n thanx
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom