Mamlaka ya maji musoma mjini mbona mnatufanyia hujuma ya wazi kweupeeeeeeeee

BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,148
2,160
Maji sio anasa km baadhi ya magamba wanavyodhani! nashindwa kuelewa kua huduma muhimu zinatumika kisiasa ata ktk taasisi muhimu km za umeme na maji...mfano hapa musoma mjini leo ni siku ya 8 maji hayatoki na still no any information given kwa wakazi wa kigera na kiara....

Uku maji ni anasa kwani hua hayatoki na kati ya siku 30 yakitoka sana basi ni siku 10 tu lakini kila mwisho wa mwezi bill ya maji hiyo mpaka mlangoni kwako sasa tunashindwa kuelewa tatizo nini mbona hakuna taarifa tunayopewa ya katizo la maji na uku tuna vyombo vya habari mf radio victoria n.k...

Na kuna sababu gani maji kutotoka mwezi mzima km inavyopaswa? nini kazi ya mamlaka husika au ni bill tu? Mkuu wa mkoa, wilaya na viongozi andamizi wanalijua hili au kazi yao ni kuyatuliza masabuli yao ofisini? au labda kisa CHADEMA kuongoza MUSOMA mjini ndo iwe kero kwa tuliomchagua? aaaaaagh :hand:
 
Hivi ni li ilikuwa siku ya Maji ? Ina maana mnasherehekea siku ya maji bila maji ?
 
Back
Top Bottom