Wanafaidikaje wanaofungua blog,Vituo vya Tv,Redio n.k | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafaidikaje wanaofungua blog,Vituo vya Tv,Redio n.k

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwishes, Mar 22, 2012.

 1. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wakuu,naomba mnijuze ili,Mtu akiazisha Blog,kituo cha tv n.k.anapataje faida?au kuna ruzuku yoyote anayoipata?asante kwa kuchangia kwa u serious.Nimeelewa
   
 2. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mkuu nakushukuru kwa thread,hata mie nimekuwa nikijiuliza jambo hili,, michuzi,mjengwa,mbeya yetu blogs cjui nn pale iringa,,
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nijuavyo matangazo wanayoweka ndio yanayowalipa-kama blog/website yako ni popular iatapata matangazo mengi na wewe utakuwa unacharge hayo matangazo-though nazani wanacount kila tangazo linapokuwa linafunguliwa(kwa blog/website)kwa redio/tv nazan kila tangazo linapokuwa linataja na muda linalokuwa linaonyeshwa.
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,910
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Kama Rage mbunge, kuna wabunge wengi wenye redio kwa minajili ya kisiasa.Hata redio 5 na Tv 5 ya Arusha ni ya kigogo wa kisiasa.
  Na mimi naanzisharedio na Tv yangu ili mwaka 2020 nigombee urais!!!
   
Loading...