Kila MTANZANIA alipwe tsh 450,000-Lipumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila MTANZANIA alipwe tsh 450,000-Lipumba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHAI CHUNGU, Mar 22, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mwenyekiti wa CUF profesa Ibrahim Lipumba amatoa wito kwa Serikali kwamba kutokana na rasilimali nyingi zilizoko nchini basi kila mwananchi apewe tsh 450,000 kwa mwaka.
  Chanzo:magazeti ya leo.
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Aanze yeye kuwalipa wapemba wa CUF kwa pesa za ruzuku, huyu ni Profesa Pumba!!
   
Loading...