Ajali ya bodaboda

Marandura

Senior Member
Jul 21, 2011
105
11
Nimeona pikipiki(boda boda) zaidi ya mia tano hapo nje ya hospitali ya mwananyamala mwenye habari zaidi atujuze. Mm nimepita na gari nimeshindwa kusimama sababu kuna watu wengi.
 
Nimeona pikipiki(boda boda) zaidi ya mia tano hapo nje ya hospitali ya mwananyamala mwenye habari zaidi atujuze. Abiria wenzangu wanasema ni ajali wamemleta mwenzao hospitali.
 
hao ndio zao mkuu pamoja na kupata ajali kila siku lakini wanaushirikiano mkubwa sana.
 
sijaelewa yaani umeona bodaboda 500 sasa umezihesabu vipi wakati hujasimama?watanzania bana kwa kuongea mmejaliwa
 
Back
Top Bottom