Msaada; wanajamvi nisaidieni kujua aliko Jerry Muro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; wanajamvi nisaidieni kujua aliko Jerry Muro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dionis nyorobi, Mar 22, 2012.

 1. d

  dionis nyorobi Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nishuhudia kazi nzuri inayofanywa na Sam Maela wa ITV, nimekumbuka Jerry na habari zake za uchunguzi. Kwa anayefahamu anijuze aliko na kama aliendelea na mkataba wake TBC.
   
 2. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Baada ya ndoa alienda UK sijui kama alirudi.
   
 3. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mmh ili nalo neno,wiki mbili baada ya kesi yake nilikutana naye mwenge...he waz real happy.cjui huu mshumaa umezimikaje
   
Loading...