Tanesko wafilisika ifakara,,,,

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,974
13,611
Wakubwa mpaka muda huu naingia hapa jamvin ifakara tuna ck tano baadhi ya maeneo umeme hamna
transfoma ambalo ni kubwa kulko yote limeungua na limesababisha mitaa kama jongo.v /sitini a, v/sitin b kukosa umeme na kwingineko.
 
mmh tanesco kwa ahadi nawakubali,wenzenu huku kulikuwa na tatizo tumeishiwa kupewa namba elfu tano mia ngapi sijui,mwezi mzima sasa na hawajaja!
 
Back
Top Bottom