Barabara ya Bagamoyo eneo la Africana yamemeguliwa na Mvua,(KUNA FOLENI YA KUTISHA!) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara ya Bagamoyo eneo la Africana yamemeguliwa na Mvua,(KUNA FOLENI YA KUTISHA!)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Mar 22, 2012.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Wapendwa wana JF nilikwama kwenye Foleni ya Magari Maeneo ya Africana kuanzia saa 7 na nusu na ndio nimefanikiwa kufika Boko muda huu baada ya kupita BODA KWA BODA ile inayopita Kilongawima maarufu( Kwa Mwamnyange) kufuatia maji mengi ya mvua yanayotoka maeneo ya Salasala Jogoo hivyo ninawasihi wanaotoka mjini kupita pale na wanaotoka Tegeta watafute njia Mbadala!
   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ohooo kasheshe imeanza tena!
   
 3. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ngoja nitafute kwa hoteli ya kulala kabisa.
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Yaani ile Barabara Maarufu ya Mwamunyange imesaidia sana kwani isingekuwepo leo ingelazimu kukaa Masaa zaidi ya 6 kwani Magari yalifungana sana...
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Kuna watu hii itakuwa habari nzuri kwao
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Wenzetu huko mvua inanyesha?
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Asante kwa taarifa. Dah! Hili eneo! Majuzi magari yalifungana pale Mbuyuni, tangu saa 2 mpaka saa 5 ndio tulikuwa tunatoka. nadhani kuanzia sasa mpaka matengenezo yatakapokamilika sisi wakazi wa Boko na maeneo ya huko tutapata shida sana, lakini naona ndio gharama ya maendeleo hiyo
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Mi naona wenzetu wameshukiwa na neema ya mvua bila shaka!

  Hongera zenu na poleni wajamen!
   
 9. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  AsANTE MKULU KWA TAARIFA!
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  itatengenezwa kabla ya weekend.si unajua mkuu wa nchi lazima akapumzike huko bagamoyo.
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wewe umepata 7bu ya jxenda kuhudumia nyumba ndogo
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kivipi embu funguka
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Inanyeshe magorofa cjui yatastawi
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Garama ya maendeleo kivipi?
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Akapumzeke ama ataenda kuonana na nanilii!
   
 16. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Kulala ''nje''
   
Loading...