Unapiga simu unasikia inaita kule unaempigia wala haiiti - -airtel mtatufukizisha kazi

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
huu mtandao wa airtel unaweza kutufukuzisha kazi sie tulioajiriwa na tunategemea sana mawasiliano ya simu ktk kazi zetu za kila siku, kwa sasa ni kawaida kwa airtel unapiga simu au unapigiwa kwa mpigaji akiweka sikioni anasikia simu inaita ila kwa mpigiwaji simu haiiti wala haionyeshi chochote kwenye display wala hata baadaye hakuna missed call inaonekana imagine ndio bosi wako anakutafuta kwa issue ya muhimu alafu kesho mnapoonana anakuuliza kwa nini hupokei simu unajibu sijaona simu yako wala missed call si ndio utamtia hasira zaidi akufukuze! maana kwake amesikia zaidi ya mara kadhaa clearly ikiita!
 
This is Tanzania. Ajira zenyewe ngumu halafu bado hadi network providers nao wanashiriki kuturudisha vijiweni? This's dangerous
 
i see, ndo maana yangu haijaita wiki mbili sasa loh!!!!!

But hii mitandao ya simu ni headaches tupu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom