Basi la skyline lapata ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la skyline lapata ajali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sept-11, Mar 22, 2012.

 1. S

  Sept-11 Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Basi lenye jina skyline lapata ajali maeneo ya mbezi-in mbele kidogo ya kituo kipya cha mbezi mwisho, basi hilo lililokua linatokea dsm kwenda mkoani limepata ajali na kupinduka mtaroni bada ya ku overtake canter iliyobeba shehena ya maji ya uhai ambapo canter iyo ilikata kona kuingia kulia kwenye feeder road bila kuonyesha indicater nakusababisha kuserereka kwa basi ilo. Amna abiria aliyekufa zaidi ya majeruhi tu
   
 2. s

  sawabho JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Thanks God, that it has not claimed any life.
   
 3. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mungu hajawapenda zaidi
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nawatakia majeruhi afya njema na MUNGU akawaguse na wapone mapema!
   
 5. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Asante MUNGU kwa kutuepushia balaa, majeruhi nawapa pole.
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole sana wote walokuwemo
   
 7. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hilo bus nalipata vizuri sana wako machafu wanapenda kufika mbeya mapema wakiongozana na Happy nation na Budget yaani utadhani wakifika stend ya mbeya kuna attendance ya kulipongeza bus liliwahi kufika.
   
 8. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kupanda Happy nation. Nilitamani kushuka kitonga maana jamaa alikuwa anateremka kwa spidi utadhani the place is clear. I think there's a way they gain coz why the same names everyday?
   
Loading...