Nahitaji namba ya simu ya mkononi ya Badra Masoud wa Tanesco. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji namba ya simu ya mkononi ya Badra Masoud wa Tanesco.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Mar 22, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi,kweli nahitaji namba ya simu ya mkononi ya afisa habari wa Tanesco bi Badra Masoud!Kama angekuwa anasoma hii thread,shida yangu ni kuwa;

  Nilitoa taarifa ya kuanguka kwa nguzo ya umeme na nyaya kuning'inia ovyo katika mtaa wangu kwa kitengo kinachojiita cha dharura tangu iliponyesha mvua ile kubwa ya kwanza ya December lkn hadi leo hawajaja!Sielewi maana ya dharura kwao,ila naona kuna uwezekano kuwa inahitajika rushwa ili hawa jamaa waweze kuja!

  Tafadhali kwa mwenye namba ya huyu mama anisaidie.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ulitoa taarifa wapi?
  walikupa namba ya taarifa?
  piga tanesco call centre
  2194400
   
Loading...