Hivi usawa wa jinsia (gender) utakifiwa kweli?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi usawa wa jinsia (gender) utakifiwa kweli?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Mar 23, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Kama mambo ya kijamii yanatokana na kutumia brain, je brain ya mwanamke na mwanaume ni tofauti - yaani kuna some areas hazifanani? Kama ndio, je huu usawa utafikiwa kweli?
   
Loading...