Msaada: Kuhama kazi kwenye chuo kikuu cha uma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Kuhama kazi kwenye chuo kikuu cha uma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hydrocephalus, Mar 22, 2012.

 1. H

  Hydrocephalus Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  sasa wewe Elimu yako yote umeshindwa kutatua hilo.
   
 3. k

  kakapeter Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama demand ushaona Morogoro ipo wewe omba kazi kule wakuajiri then hapo ulipo watandike resignation letter.Mimi nafahamu watu wengi wameresign chuo kimoja kwenda kufundisha kingine.
   
 4. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kweli elimu haujakukomboa pamoja na shahada ya uzamili uliyonayo unashindwa kutatua hilo tatizo wakati njia za kufuata unazifaham,hata hivyo kuna professiona za kusumbuliwa kama unataka kuhama na sio za vyuo vya umma,anyway hujaweka wazi kama ww uko utawala au ni mhadhiri,kama uko utawala kazi unayo ila kama ni mhadhiri ntakucheka sana kama unawaelimisha wanafunzi then ww mwenyewe zero,msaada wangu nenda utumishi pale magogoni kwenye ile tower eleza shida yako tena ya kifamilia fasta watakupa uhamisho maana serikalini ishu ya familia ukitaka kuhama wanaipa kipaumbele sana kukwepa watumishi wna familia wasichakachuliwe
   
 5. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  masitaz ya nini hiyo?yaani hujui hata utaratibu wa kuhama kituo cha kazi??lol!
   
 6. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapa umenigusa hata mimi.mimi mwenyewe nataka kuhama.Nafanya kazi wizara fulani. Tatizo ni kwamba pale kwa ujuzi wangu naona kama nipo chaka. Kaazi zipo lakini ndogo ndogo. Nataka kwenda wizara kama tamisemi,uchukuzi au miundombinu
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We utakua na mastaz ya mambo ya ushirika,ndo maana unashndwa kupambanua mambo mwenyewe.
   
 8. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Itakuwa ni MASITAZ ya Sayansi Kimu hiyo!!IT is a shame!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Sijui vijana wetu wanafundishwa nini!
  Sasa wewe lecturer unataka uhamisho kama mwanafunzi wa sekondari ama praimare? Kwani hiyo kazi hapo ushirika uliipataje? Muambie aliekubeba akusaidie tena manake miguu imegoma kutembea! Hebu acha uzembe mwalimu,kha!
   
Loading...