Mkombe Zanda asisome tena magazeti RFA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkombe Zanda asisome tena magazeti RFA.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Mar 23, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,187
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa mwanzoni nilidhani ni ugeni kwenye kazi lakini nimegundua hafundishiki. Jamaa anasoma kichwa cha habari kwenye gazeti moja, then akishika magazeti mengine anasema habari ndo zilezile nilizosoma katika gazeti la awali, wakati sio ukweli. anatumia dk 2 kusoma habari mchanganyiko then anakuja kutumia mda wote kusoma michezo na mipasho. Kama RFA na Star TV ndo wasomaji wanatuletea, bora wafute hicho kipindi.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  nilidhani ni mimi pekee ndio kaniboa kumbe tuko wengi.jamaa ana papara sana nahisi kaamka na mningi'nio
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja leo nimenoreka kweli yawezekana akawa kada hata wakina dada wanamshinda
   
 4. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ana tone sana na madoido kiasi kwamba anaharibu, alafu huwa anajichanganya
   
 5. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawa RFA wamekuwa wafanya biashara tu siku hizi. Muda mwingi wanautumia kutangaza kunawa mikono, kunyesha mvua ya CRDB, mara airtel. Hivo lazima walipue lipue tu ili wapate muda matangazo.
  Zamani walikuwa wanatisha.
  Siku hizi kama ni magazeti basi Magic Fm ni tishio bongo.
   
 6. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata nami nimeliona hili hasa leo. Wale wadada wanasomaga vizuri. RFA badilikeni mapema.
   
 7. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,274
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Radio Tumaini wapo juu kwenye uchambuzi wa Magazeti.RFA ilikua zamani.
   
 8. Manjagata

  Manjagata JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,970
  Likes Received: 1,479
  Trophy Points: 280
  Huyu mimi alishanichosha siku nyingi anazidiwa mpaka na Yvonna Kamuntu! Huyu wanatakiwa wampeleke akatangaze taarabu!
   
 9. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu umenena. Huyu bwana ni kero sana. Kwa mfano leo kila anaposhika gazeti anasema habari ni zile zile wakati siyo kweli
   
Loading...