Radi yaua mwalimu kigoma kaskazini

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,308
Radi zimeendelea koogfya wananchi kigoma kask
1.mwez wa kwanza iliua mtu mmoja pamoja na ng'ombe na mbuz
2.leo saa sita mchana imeua mwalimu wa shule ya msingi Nyamagana,alikua anakinga maji nyumban kwake,radi ikamkuta,amefia hospitaly Matiazo,mwili wake umepelekwa Mawen hospitaly
Angalizo haya maeneo ya kigoma kask Radi zinaua sana,mwenye Elimu juu ya Radi,naomba iwekwe jamiiforum,ili tupate mafunzo
Iwa mwema
Wakatabahu
Adharusi
 
Back
Top Bottom