mzee wa harambeaka.el kutinga tunduma kurejesha chenji za richmond

Msf

Member
Nov 24, 2011
17
7
kuna tetesi za mr. el kuja kurejesha chenji zetu tar.30/4/2012 kupitia harambe ktk kanisa la kilokole tunduma EAGT linalo hudumiwa na pastor Swata eneo la majengo tunduma
 
Wananchi tafadhali msichoke kuendelea kupokea chenchi zenu za utapeli wa Richmond huko makanisani kupitia kwa Lowassa.
 
kama wanataka kanisa libomole aende huko. Kuna sehemu imefikia hatua kama dingi ni mwana ccm watoto wanakuchenjia.
 
kuna tetesi za mr. el kuja kurejesha chenji zetu tar.30/4/2012 kupitia harambe ktk kanisa la kilokole tunduma EAGT linalo hudumiwa na pastor Swata eneo la majengo tunduma

Mkuu hii sitetesi ni live nimeshuhudia watumishi wakigawa kadi
 
ukiwa nje ni fisadi, ukileta kanisani wewe ni mtumishi wa bawana! wachngaji na mapadre mpo!
 
kuna tetesi za mr. el kuja kurejesha chenji zetu tar.30/4/2012 kupitia harambe ktk kanisa la kilokole tunduma EAGT linalo hudumiwa na pastor Swata eneo la majengo tunduma
Hon. Lowassa ni mcha Mungu mzuri sana. Mungu ambariki.
 
Back
Top Bottom