Wamiliki wa makampuni ya ving'amuzi mnao wakati mgumu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamiliki wa makampuni ya ving'amuzi mnao wakati mgumu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Mar 31, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wana wa familia hii hamjambo?.Kama nionavyo mimi hawa jamaa kama hawatabadilisha mabei yao ya vifurushi vyao hawatapata wateja,kwa hasa sisi tulio huku mikoani huduma ya cable unafungiwa kwa mwezi unalipia sh elfu5 chaneli zote unapata zikiwamo za super sport,ije kuwa wao mipira hawana wanarusha chaneli za fta zinazopatikana kwenye cable kwa kukuuzia kwa gharama za juu.
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkoa gani?kampuni imesajiliwa? Huogopi?
   
 3. d

  dandabo JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  mkuu utawachoma wenzio! We enjoy tu kimya kimya!
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Na kweli... Hao wa cable si kwamba wanakutoza nafuu.. Wanakununua kimtindo usiwatajetaje kama unavyofanya sasa.. So kama dandabo hapo juu,enjoy kimyakimya..
   
 5. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  4 sure hawa wa2 wa ving'amuzi wamezidi bei kubwa af chanels chache,moreover hazina mambo mazuri sana!af cku iz wameanzisha tabia kila cku wanaibuka na vifurushi vipya na kupandisha bei..
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hivi Dstv bado wanatoza kwa dola ya kimarekani?
   
 7. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hakuna suala linalonikera kama la vitu hapa bongo kuuzwa kwa pesa za nje. Why? Kwani hapa sisi hatuna pesa yetu mpaka dstv watuuzie kwa dola
   
Loading...