Siri ya TANESKO tabata

Van dixon

Member
Mar 27, 2012
15
0
Nawasiwasi na huyu mkuu wa tanesko ktongoji cha tabata maana kila siku lazima wakate umeme..kutokana na uchunguzi wangu inaonesha kuna demu anaitwa mary kamtosa huyu jamaa wa tanesko ndo maana wanafanya makusudi,mapenzi yako mwenyewe unayaamishia kwa umma...looooooh!!!!!!
 
Nakumbuka pia tabata dampo kwa wale mafundi magari umeme ulikua unakatwa mpaka wachange pesa kuhonga meneja umeme ndipo unarudi
 
Back
Top Bottom