Mfanyakazi wa Bandari idara ya Marine afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi wa Bandari idara ya Marine afariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kyoombe, Mar 31, 2012.

 1. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mfanyakazi wa bandari ya dsm idara ya marine bw. Ole Ngani alifariki dunia juzi 28.03.2012 katika hospitali ya Ocean Road. Mwili wa marehemu utasafirishwa kesho saa 6 mchana kwenda Arusha. Wanabandari na marafiki mnaalikwa hapa kota za bandari karibu na Mandela road kuaga mwili wa marehemu. R.I.P. Ole Ngani.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kafa kwa ugonjwa gani?
   
 3. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  cancer
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kota zipi? mivinjeni au kule karibu na namba tano? i mean pale karibu na uwanja wa ugimbi.
   
 5. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  hizi hapa mandela na kilwa road
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  zile za mbele ya trh na uhasibu? kuna sehemu kunapark magali makubwa hasa ya zambia.
   
 7. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  ndio hapo mtaa wa tatu kutoka kilwa rd kuelekea shimdong
   
Loading...