Cantini ya ifm hairidhishi

mbota

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,040
559
JF
Hapa ifm hali inakuwa inasikitisha sana maana nikianza na vifaa sahani tunafanya kusubiri kwenye misururu mirefu haya ukipata chakula inakuja ishu ya vijiko yani mnaanza kugombania mpaka basi
ukimaliza hapo kwenye ishu ya msosi wenyewe unakula wali maharage wakati umenunua wali nyama. Mchuzi hamna , mboga za majani hamna. Yani balaa
ifmso wamefuatilia ila urasimu. Nawasilisha
 
Tuulize sie enzi zetu alikuepo caterer mmoja anaitwa Mangesho akawa analeta ujinga kama huo huo tukampiga chini tena kwa makeke sana. Sema sasa nyie ubrazamen na usister du umewazi hamuwezi kugoma hata kidogo kwa hiyo endeleeni kukomaa mpaka siku mkishikwa na kipindupindu ndo mtajua kuwa mlitakiwa kufanya peoples power
 
  • Thanks
Reactions: amu

kiukweli revolution inahitajika maana haina maana ya kuwa na cantini ndani ya kampasi bado utumie masaa mawili ili upate chakula
 
Tuulize sie enzi zetu alikuepo caterer mmoja anaitwa Mangesho akawa analeta ujinga kama huo huo tukampiga chini tena kwa makeke sana. Sema sasa nyie ubrazamen na usister du umewazi hamuwezi kugoma hata kidogo kwa hiyo endeleeni kukomaa mpaka siku mkishikwa na kipindupindu ndo mtajua kuwa mlitakiwa kufanya peoples power

Haya mambo bila kuwa makini mnakufa kweli. Sie tulifanya the same Unit 2 cafeteria (SUA - Mazimbu campus). Mbona mambo yalibadilika the same day?
 
kiongozi/waziri wa afya na chakula ifm anaitwa Joshua anakaa kaa block D , pale wanapo priti...muone pia anaweza kukusaidi mkuu.
 
kiongozi/waziri wa afya na chakula ifm anaitwa Joshua anakaa kaa block D , pale wanapo priti...muone pia anaweza kukusaidi mkuu.
jambo lingine la kuangalia ni gharama za uendeshaji wa canteen zimepanda sana. bei za vyakula katika vyuo ni ndogo sana kuliko gharama halisi, kila kitu kimepanda kwa karibu 50-100%. Mfano mwaka jana January bei ya mchele ilikuwa 1000-1200, sasa ni 2100-2500, gas ya kupikia 15kg ilikuwa 35000-38,000 sasa ni 55,000 n.k Wakati bei za vyakula bado ni zile zile za zamani, sishangai quality ya chakula kushuka. Na Cateres wengi kwa sasa wanakwepa hizi canteen, mfano chuo cha usafirishaji walitangaza tenda na kampuni fulani ikashinda, lakini ikabidi iiache hiyo tenda maana hailipi, CBE wametangaza na wanawashawishi baadhi ya credible caterers wachukue tender doc lakini jamaaa wanawakatalia; nani leo auze sahani ya wali nyama 1000? wali samaki 1200?
 
Baada ya kuondoka tu mkuu wa chuo Prof Doriye,IFM imeshuka hadhi sana,miundo mbinu aliyoacha Prof DORIYE ndio hiyo hiyo, cha kushangaza ni kwa nini taasisi zetu za umma pale zinapoonekana kudorora kiutendaji wahusika hatolewi mara moja kama yu Prof Mjema
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom