Update. Coast union na yanga uwanja wa mkwakwani.

Dec 11, 2010
3,321
6,327
Mtakumbuka kuwa leo ni mchezo kati ya Coast union ya Tanga na Yanga ya Dsm, mchezo unachezwa uwanjani wa Mkwakwani jijini Tanga.

Uwanja umejaa shamra shamra za mashabiki wa timu zote mbili. Yanga wakiwa wanashangilia kwa matarumbeta, Coast wakipiga baikoko. Upande wa jukwaa la Yanga mashabiki walio kuwa wamevaa nguo nyekundu wamevuliwa nguo zao na nguo hizo kurushwa uwanjani.

Nitaendelea kuwajuza mpira ukianza.
 
Hicho kisimu cha mchina kimekuzimikia,au wamukuliza? Saa hii ni mbili kasarobo usiku mechi haijaanza tu mkuu?
 
mechi imeisha na yanga wamefunga goli dakika za majeruhi. goli alifunga kiza. leo julio alichonga sana. nasubili magazeti ya kesho yataandika nini coz julio alichonga kinoumer. huyu jamaa aliye anzisha thread ni mshabiki wa coastal union a.k.a simba b ndo maana hajarudi hapa.
 
atarudi mwakani!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom