T 210 AZX Imepata ajali kurasini sasa hivi

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
ni katika round about ya bandarini karibu na namba tatu. ilikuwa ikitokea mjini. inavyo onekana dreva kashindwa kukata kona akaingiza gali mtaloni. inavyo onekana kashindwa kukata kona. nmempita pale anashangaa shangaa. Mungu amsaidie kama kaumia. na huu mwisho wa mwezi tutaona ajali nyingi dar. Tusiendeshe magari wakati tumekunywa pombe. ni angalizo tu.
 
Back
Top Bottom