TUZO ZA MCT: Masoud Kipanya afunguka

Mnwele

Senior Member
Feb 4, 2010
162
100
Kufuatia kutoridhika kwa sehemu kubwa ya wadau wa Habari na Burudani hapa JF kuhusu tuzo hizi. Nimemtafuta Masoud na hapa anafunguka:

Hahahaha, hao mimi nahisi hawaelewi maana ya tuzo, you dnt apply for tuzo, kina messi na drogba huwa hawa-apply for tuzo za uanamichezo bora, wala hawapeleki clips za mechi walizocheza vizuri. Tuzo unapewa baada ya kutazamwa na wako. You don't apply.

For 2 yrs wamekuwa wakiniomba nipeleke katuni nawaambia siwezi kuleta katuni zangu kwa ajili ya tuzo, naweza kupeleka katuni kama ni competition. Ukiweza posti hiyo comment yangu kwa jf.
Source:text message from Kipanya
 
Du! kipanya kawavua nguo! bilinganya zawaning'inia, na jk kujipendekeza kwake kavishwa kivazi kionwacho na watakatifu pekee, kama alikuwa na hamu ya kuhutubia angeenda arumeru akazomewe!!!!!!!
 
Si ndo nimeshangaa eti nathani mpangala ndo kashinda kwa vile vikatuni kwaq tv! Nikasema where is Kipanya. Sasa nimeeleewa.
 
Mbona CNN journalist of the year awards huwa wanatangaza watu wafanye applications? Namkubali sana Masoud, ila yeye aseme hajajihangaisha manake anawalipua sana jamaa kuliko Mpangala na angepeleka maybe asingeshinda. Aachane nao tu, wembe ule ule.
 
huo ndio upuuzi wa kp!
Katuni zake hazihitaji kutangazwa baada ya taarifa habari ili ziwafikie watazamaji.
 
Mbona CNN journalist of the year awards huwa wanatangaza watu wafanye applications? Namkubali sana Masoud, ila yeye aseme hajajihangaisha manake anawalipua sana jamaa kuliko Mpangala na angepeleka maybe asingeshinda. Aachane nao tu, wembe ule ule.
Ndio maana wanaoshinda CNN tuzo ni hao hao ingawa sidhani Kama Hawa wanaambiwa waapply mie I thought kwamba wanaambiwa wapeleke kazi Baada ya nomination
 
Hata tuzo Kili Music Award ingawa kuna magumashi mengi but napo watu hua hawaombi kupitia applications
 
Ndo mana kp aliondoka clouds kwa fitina hizohizo! jamaa namkubali yuko positive! si mnakumbuka hata ile programme yake ya maisha plus wadau walimfanyia majungu,ila mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe!
 
Kufuatia kutoridhika kwa sehemu kubwa ya wadau wa Habari na Burudani hapa JF kuhusu tuzo hizi. Nimemtafuta Masoud na hapa anafunguka:

Hahahaha, hao mimi nahisi hawaelewi maana ya tuzo, you dnt apply for tuzo, kina messi na drogba huwa hawa-apply for tuzo za uanamichezo bora, wala hawapeleki clips za mechi walizocheza vizuri. Tuzo unapewa baada ya kutazamwa na wako. You don't apply.

For 2 yrs wamekuwa wakiniomba nipeleke katuni nawaambia siwezi kuleta katuni zangu kwa ajili ya tuzo, naweza kupeleka katuni kama ni competition. Ukiweza posti hiyo comment yangu kwa jf.
Source:text message from Kipanya

masoud ni GREAT THINKER!kwa maelezo hayo nimeongeza kitu!
 
Back
Top Bottom